Nauza Shamba la Hekari Moja

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
2,328
2,000
wakuu nauza shamba lenye ukubwa wa Hekari moja na likiwa na baadhi ya mazao kama mikorosho, miembe, minazi na karanga, Shamba liko Manispaa ya mtwara sehemu inaitwa Naliendele shangani ni karibu kabisa na barabara kuu... Bei yangu ni Milion 17 maongezi yapo unaweza kunicheck 0767 723294
 

Attachments

Top Bottom