Gari nzuri inauzwa

Gari nzuri inauzwa

msonganzila

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
204
Reaction score
106
Gar nzuri BMW X5 inauzwa Tsh 60,000,000/=
Karibuni sana...mazungumzo ruksa...
0715-011022
1479230313792.jpg
1479230323452.jpg
 
Mikopo ya benk itawauwa mwaka huu. Mlizowea kuishi kimagumashi sasa mnaonja joto la jiwe
 
Vipaumbele vya nchi ni viwanda kwanza 60m una viwanda vingapi ukiwapa huo mshiko sido?
 
Njia ya mikopo ya riba ni njia haram ndio maana watu wanalia
 
Wako wanauza vitu vyao walivyovipenda kujinusuru na mabenk kuuza nyumba zao
 
Sifurahii hao watu kushuka Bali sipendi mtu akimbilie mikopo ya riba ambayo normally mwisho huwa sio mzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom