Kuna aina 3 ya dawa.
1.Inakuza eneo ambalo limepotelewa na nywele kwa sababu ya kemikali au DNA cells (kuotesha upara),kwa wanaune na wanawake. kipimo ni 200mls @30000/-
2. Inakuza nywele...
Habari
Naweza kupata chumba ambacho ni Self maeneo ya Mombasa Area karibu na kiwanda cha Zainab Bottlers? Na je gharama za chumba zikoje?Wanapokea kwa mtu anaekaa kwa miezi mitatu?
Nashukuru...
Nauza harrier imetumika miezi 5 tuu Tanzania. Imekatiwa Bima Kubwa. Anaehitaji kindly inbox
Bei tsh mil 18
1.plate number DGT
2.Ya mwaka 1999
3.imetembea km 96000
4.ina CC 2200
5.ipo katika hali...
Habari!,wakuu kama. Unahitaji Simu smartphone used nzuri kwa bei rahisi kuanzia tsh.Elfu 60 hadi laki 3 inategemeana na Simu tuwasiliane kwa WhatsApp 0719269820 tuna Simu nyingi nzuri!
hii juice dispenser inauzwa haina matatizo makubwa! tatizo lake ni pale sehemu ya kukoroga tu ila panarekebika! lakini inapoza vizuri tu na haraka zaidi! nilikuwa na mpango wa kurekebisha...
linadumu kwa miaka miwili
lina uwezo mkubwa wa kukausha maji
linaosha vioo vya nyumba
lina save maji
linadeki seh kubwa kwa muda mchache
lina deki seh ambazo mikono haiwezi kufika
tunatuma hadi...
Nyumba inauzwa maeneo ya magomeni kagera.ina vyumba sita,choo na bafuu vya ndani kwa ndani. Pia inauzio mkubwa wa ukuta na ina geti. ila gari haliwezi kufika ndani huwa lakini unaweza kupaki...
Naomba msaada wakuu natafuta chumba cha kupanga sehemu hizo gharama yake iwe kati ya sh.60-50 kwa mwezi na pesa ya kutoa ipo nina uhitaji wa haraka sana wakuu please.amvaye anapangisha au anaweza...
Kwa wale wanaopata shida kulea vifaranga wa siku moja kampuni ya godson poutry solution wanawaletea vifaranga wa wiki mbili aina ya kenbro,Israeli Na Malawi .vifaranga wamepewa chanjo zote muhimu...
TOYOTA CHASER
Cc-1988,automatic,rangi silver,engen no 1GFe,haidaiwi vibali
Bei 5.5mln....
KWA mawasiliano piga Sim 0715591141...gari Iko tabata changombe
Nasikia Black friday ya Jumia imerudi kwa mara nyengine tena na safari hii unapata zaidi, unaweza kupata vitu vyenye punguzo la bei mpaka 70%. Inasemekana inaanza kuanzia tarehe 21 mpaka 25, mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.