Wapi napata Vifaa vya kuanzisha Mgahawa wa Kisasa

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,025
Reaction score
494
Wadau nataka kuanzisha mgahawa wa kisasa mkoani naombeni mnifahamishe wapi napata vifaa vya kisasa kwa ajili ya biashara hiyo hasa fast food na catering.
 
Nenda mikocheni karibu na ofisi za Tanesco kuna duka kuuubwa la vifaa vyote vinavyohusu Restaurants, Hotels, Catering etc
 
Mkuu hebu toa direction ya wapi hasa ni kituo cha daladala...wahitaji tupo wa kufuatilia hizo office
 
Nenda mikocheni karibu na ofisi za Tanesco kuna duka kuuubwa la vifaa vyote vinavyohusu Restaurants, Hotels, Catering etc
Ndgu mie nipo mikoa unaweza taja hata jina la ofisi hiyo au kampuni ili nianze nao contact kwa kutumia masafa ili kuweka mambo sawa kabla ya kwenda physically.
 
Back
Top Bottom