kamal Naseeb
Member
- Jul 31, 2015
- 54
- 22
kadli siku zinavyozidi kwenda vitendo vya wizi na utapeli wa kila aina unazidi kushamili katika jamii, pengine ni changamoto ya kiuchumi, mazoea ama nafsi ya mtu hupelekea vitendo kama hivi kuongezeka philosophically wanaita "human nature" kwamba by nature human being is a selfish or egoistic ile umimi kwa lugha ya mitaani huita "kavu" bila kujali maendeleo ya watu wengine bila shaka kuna ukweli ndani yake. kwa jamii ya sasa ni kosa kubwa kujenga imani kwa mtu yeyote.
Tahadhar kuna wizi wa magari unaendelea matukio mengi mtu kuibiwa gari siku hadi siku hasa kwa Dsm magari yanayo ibiwa sana ni yale yanayoweza kuuzika kwa haraka kama vitz, IST, passo, harrier nk.
Pili kuna wizi wa simu hapa mtu huweza kubambikiwa simu feki wakat wa manunuzi vile vile kuna utapeli wa mitandaoni hii kwa wafanya biashara mtu anaweza kuja kama mteja anahitaji bidhaa akafoji muamala feki wakati wamanunuzi pia kuna mapeli hutumia namba maalum kwaajili yakuwasiliana na watu wanaotaka kuwatapeli hivyo tuwewaangalifu na namba ngeni zinazoingia.