Urgent: Nina Soko la Chumvi (Coarse Salt)

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,865
782
Wadau,

Kuna hitaji la haraka sana la chumvi isiyosagwa (coarse salt) na siyo fine salt , kwa wingi sana kama tani 30 kwa wiki.

Soko lipo tayari mwenye namna naomba tuwasiliane haraka sana kwa PM au moja kwa moja 0715502757

Ahsanteni
 
Nenda bagamoyo hapo mkuu....ndio mgodi wake moja kwa moja unajaza mafuso kwa mafuso....
Nimekuelekeza uende site upate optimum profit..
Kama hupajui utani pm nikuelekeze zaidi..just elf 2 frm dar city centre
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom