Ni refurbished dell(E5420)from USA
Ram 4gb
250gb HDD
Core i5
Inakaa masaa mawili na charge
Wifi ,Bluetooth zote zipo
Zipo tano
Being ni 500,000Tsh kila moja.
Napatikana dar es salaam
Pm me for...
December 19, 2016
Dar-es-Salaam, Tanzania
Flightlink: Providing Schedule and Private Charter Flights Throughout Tanzania
Source: Marcopolis Net
Interview with Munawer Dhirani, Managing Director...
Habari wakuu,je una Ndoto ya kumiliki gari lako mwenyewe,kama ni ndio,karibu nikusaidie kutimiza Ndoto yako,nitakusaidia kununua gari kutoka nchi mbalimbali,kama Uk,Germany,USA,Italy,Japan etc,na...
Ninatoa ofa kwa wale wote watakao kuwa tayari kununua mbegu za papai.
Ofa itakuwa ni kupunguziwa bei ya kupimiwa udongo.
Watakao hitaji ofa hii wapige simu zifuatazo.
0784999995.
0763208043...
natafuta simu used tecno y3 sio y3 + naihitaji sana kabla ya kesho jioni iwe katika hali nzuri
hata iwe ni ile ya tgo si mbaya
kama unayo na ungependa kuniuzia piga
0658825141
0621068486
nahitaj hii simu nimejaribu kutafta madukani nimeikosa nipo Tanga ila kama upo Dar au Moshi kuna watu watakuja kuiangalia na kuinunua
0621068486
0658825141
Je unawahi kumaliza tendo la ndoa, unashindwa kurudia tendo la ndoa, huna uwezo wakumpa mwanamke mimba. Acha kuangaika kampuni yako ya BF-SUMA inakuletea virutubisho vitakavyomaliza matatizo...
Habari wapendwa, wale walaji wa samaki aina ya sato karibuni mtoe oda ili tukutumie samaki moja kwa moja kutoka mwanza.
samaki watapakiwa kwenye ndoo ndogo au ndoo kubwa na box (samaki mmoja)...
Wadau nipo mbeya (city centre) natafuta mtu wa kubadilishana nae king'amuzi, mi ninacho cha azam mi nataka anipe cha star times.
Hakijatumika sana nimenunua mwezi wa nane mwaka huu.
Kama upo...
PATA USAFIRI WA UHAKIKA NA MAGARI YA KIFAHARI KUTOKA KWA CORPORATE TOUR.
kwa ajili ya hafla kama WEDDING,KITCHEN PARTY, SENDOFF,HARUSI N.K kwa bei nafuu kabisa kwa wewe mkazi wa Dar es Salam na...
PATA USAFIRI WA UHAKIKA NA MAGARI YA KIFAHARI KUTOKA KWA CORPORATE TOUR.
kwa ajili ya hafla kama WEDDING,KITCHEN PARTY, SENDOFF,HARUSI N.K kwa bei nafuu kabisa kwa wewe mkazi wa Dar es Salam na...
Tunapokea oda ya bidhaa mbalimbali za urembo kutoka nje na kuuza kwa bei ya jumla kwa wanafunzi wa chuo na watu mbalimbali. Bidhaa zetu ni bora na zipo on demand kiasi kwamba huwezi kukaa na mzigo...
Iko SINGIDA.
Iko kwenye hali nzuri sana. Ina crane kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kunyanyulia vitu viziyo. Ina namba za uganda, kwa sababu mwenyewe anadharura. Bei ni Tshs 38 Mil (Bila...