Je una Ndoto ya kumiliki gari?,pitia hapa!

Je una Ndoto ya kumiliki gari?,pitia hapa!

King 5

Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
24
Reaction score
15
Habari wakuu,je una Ndoto ya kumiliki gari lako mwenyewe,kama ni ndio,karibu nikusaidie kutimiza Ndoto yako,nitakusaidia kununua gari kutoka nchi mbalimbali,kama Uk,Germany,USA,Italy,Japan etc,na hata kama unahitaji gari iliyopo Tayari hapa nchini nitakusaidia,nicheki WhatsApp number 0719269820.

Hujachelewa kutimiza Ndoto yako ya kumiliki gari!


Karibu sana!nikuhudumie!
 
Harrier Hybrid pesa ngp mpk mkononi?
 
Ngoja nikufuate huko huko Whatsap labda tutaelewana
 
Premio new model bei gani?
Premio new model inakwenda mpaka 14mil,lakini kama uko seriously tunaweza fanya mazungumzo WhatsApp number 0719269820,unaweza pata discount!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Baadae utamsikia anauza group la whatsup lenye member 850.......
 
Harrier Hybrid ya mwaka gani mkuu?
Mkuu isiwe latest sn sina pesa izo. But isishuke mwaka 2006.nkipata picha ntakutafuta. Btw nambie bei yko kwa mpya and used
 
59ab3136bf8df854d1d902e0314f731f.jpg


hii ndo hybrid
 
Tunakoelekea sasa hivi muda si mrefu Watu watakuja wanalia humu.
Hahahaha. Nt tht easy brother.sihitaj konakona km ipo aseme. Othrwise deal litakua closed soon. .ni mimi nahitaji io gari
 
Back
Top Bottom