Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza CPU ya HP yenye sifa zifuatazo Hard disk: 300gb Ram: 1gb Processor : 2.42 GHz duo core Tshs 100,000 tu Nicheck kwa 0718723926
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kiwanja kipo karibu na kiwanda kipya cha nondo cha kiluwa.bei milioni mbili na nusu kwa eka.zipo eka tano.mawasiliano zaidi karibuni pm
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nahitaji mtu anayeuza vitu used toka zanzibar kama vile tv,frji nk. kama upo weka mawasiliajo yako hapa tafadhali au tuwasiliane. shukran
1 Reactions
7 Replies
4K Views
...Kuna Milango ya iliyotengenezwa na mbao za mininga inauzwa ni pure mninga haina kovu wala doa ipo 50 (Hamsini) Bei yake ni 350,000 ipo Dar es salaam.. Urefu ni Cm 220 na upana ni Cm 90 Kwa...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI.MAGENGENI KWA URASA.UKITOKA FERY NI DK 5 KUTEMBEA KWA MIGUU.INA VYUMBA VINNE(4) VYA KULALA,KIMOJAWAPO NI MASTER.HIVYO VYUMBA VINGINE VITATU VINA-SHARE-(TUMIA) CHOO...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunatengeneza; dawa za choo (disinfectants ) sabuni ya maji kama termol kwa ajili ya usafi wa nyumba na nguo na dawa ya kusafisha tiles na sink. BEI NI NAFUU KWA MAWASILIANO 0753491777 AU 0763023661
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Nauza unga bei nafuu unga unapatkana moshi kwa kila kilo moja 1100 upo mwingi karibuni sana maelewano zaidi karibuni pm
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mzigo upo shambani Kabuku. Yapo maembe kama 10,000 hivi. Embe 1 linauzwa 400 Tsh. Mawasiliano: +255718335855 Karibu tufanye biashara.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu wa nchi natafuta machine ya kufulia nguo please iwe imetumika wakuu Wangu.au kama ziko za mtumba Wapi naweza Pata jamani.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mdc ndilo jibu lako we are team of dedicated car agent we deal with selling of used car in tanzania and japan we can get you a car of you choice at your budget we exchange used car with new car...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Tuone mushi distrubution company mdc tunadeal na uuzaji wa magari na pia tunasaidia watu kuuza magr yao katika accurate time Tupo fire kariako Pia tunaagizia watu magar kutoka japan Pia...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Habar zenu wana JF, Ni muda sasa nimekua najishugulisha na kutoa huduma za ICT hasa zikiwa kama consultation, kwahyo nakuja huku pia kuwajuza watu mbali mbali kuhusu hizi huduma. Kama utakua na...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Jipatie hii Router na uweze kuunganisha hadi vifaa 10 kwa pamoja. Mnaweza kushare simu zote nyumbani pamoja na PC/Tablets/Smart TV/Game Consoles/cctv IP-cameras etc Bei: 60,000/- Location: Dar
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Habari wana jamvi! Nauza viatu vizuri vya ngozi kwa ajili ya shule na hata mitoko mbalimbali(kwa wavulana) vya kike na kiume. Ni viatu vilivyotengenezwa hapa hapa Tanzania na watanzania...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Tecno C9 inauzwa kwa 270,000 tu nicheki kwa 0714574219
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni fundi wa praster ya urembo rangi na tiles tuwasiliane watsapp 0719999526 picha nimeshindwa kuweka wadau.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarin wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nauza mikoba ya kina Dada wadada wa jf na wakaka wa jf njooni muwanunulie mawifi zangu mikoba. Mikoba mizuri i imebaki michache mwanamke...
2 Reactions
40 Replies
11K Views
Kazi yetu ya aluminium windows toka infinity works asante mdau wa jf kwa kutuungisha. Wengine karibu sana namba zetu ni 0620775867
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kwa mahitaji ya kiwanja au mashamba kwa dsm.. Viwanja vinauzwa kilwa road mwandege nyuma ya kiwanda cha bakhresa, Ukubwa ft 50×50 bei mil.3, Mashamba yanauzwa kigamboni kimbiji, Ekari moja mil.5...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom