Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau heshima kwenu, Nimekuwa nikihangaika jinsi ya kumonitor duka langu hasa wakati niko safarini na kuna mdau alinidokezea kuwa naweza kupata camera ndogo za siri zinazoweza kurecodi matukio...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Nauza cm nokia lumia 525 kwa bei poa ya sh 120000. Cm ina internal memory na extenal memory. Internal ina 7gb. Extenal ina 2gb Pia inakamera kali sana. Njoo inbox au piga 0657623266
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Hii tipa iko kwenye hali nzuri kwa anaehitaji karibu piga Simu 0755250190 mimi sio Dalali hivyo atakaepiga Simu asiwe Dalali
0 Reactions
40 Replies
10K Views
bidhaa zote za aina ya chuma kama vile vitanda,dressing table,mageti,milango,fensi n.k nicheki 0757569232 au 0624055251
0 Reactions
9 Replies
17K Views
Nina laki 2 ninahitaji simu inayovalue mwenye mayo text me 0655398198
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Motorola motoG Internal memor 8gb Ram1 gb 200k Call or sms on 0716060948
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yeyote anaehtaji laini ya uwakala anichek, kama ndo unaanza biashara Hii naweza kukupa mfumo wa kazi na mbinu zote, Gharama tsh.200,000/= tu, mwenye uhitaji nicheki kwa kupatana na kufanya...
0 Reactions
6 Replies
969 Views
N Naomba kujua ulipo Ubalozi wa Comoro hapa Dar es salaam.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Natafuta vijana wawili kwa ajili ya kazi ya kuuza ice cream. Aliyetayari au anamtu anayeweza fanya kazi hii ani PM. Natanguliza Shukrani
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Nipo Dar,nahitaji decoder ya Azam bila dishi,aliyenayo au anayejua duka linalouza decoder bila dishi naomba anijuze pamoja na bei yake tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
823 Views
Helo wakuu, kwa wale watu wa acccounts na mambo ya finance nina quick book lattest version naiuza kwa bei poa Nicheki Pm kwa maongezi zaidi
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Natengeneza na kusambaza crisps za ndiz, tambi, karanga za mayai na Ubuyu, kwa mahitaji ndan ya Dar call me on 0764595685
4 Reactions
1 Replies
8K Views
Je unahitaji kuscan document zako kiurahisi? Jipatie hand scanner inayotumia betri uweze kuscan document/picha zako kiurahisi ukidhihifadhi kwenye memory card kwa mtindo wa pdf/img. Ni rahisi...
1 Reactions
6 Replies
856 Views
Ipo Kibàmba. Call: 0622 103 710
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Natafuta screen display ya simu ya LG G2 D801 Kama unaweza kuwa na hiyo simu uniuzie kama spare part niPM
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Ninatengeneza na kuuza ndala/Viatu nzuri na Makapeti ya kufuta uchafu miguuni Rejareja na Jumla. Rejareja Piece 1 = 3000/= Jumla Piece 1 = 2600/= Kapeti Piece 1 =5000/= 0717 872 020
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Tupigie sasa kwaajili ya maelezo zaidi. 0713992607, 0687124275 kwa kazi zetu zaidi tafadhali follow page yetu ya instagram @fortunestudiostz au tovuti yetu www.fortunestudios.co.tz Count on us...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari! Kama kichwa hapo juu, ninauza bus aina ya Eicher (Skyline) namba CVZ. Gari ni yangu. Sababu, nimeanza kufanya shughuli nyingi mikoani na imekuwa changamoto kusimamia. Gari ipo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ina jumla ya vyumba vitatu, kimoja ni master, sebule kubwa,, jiko la kisasa,, Choo cha ndani. Ndani ya fensi yenye pavings Ipo mbezi beach tanki bovu nyuma ya Jengo la SHAMO TOWER Call 0689315582
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom