Tabora je?wapo pia wa kukaanga (bei itatokana na idadi)
sio mikoa yote tunatuma,
zanzibar, dar, mwanza, musoma, kigoma, mtwara, arusha, kilimanjaro.
ndio ndugu yangu.Gharama za usafirishaji ni wewe muuzaji?
hahaha wapo wasiotaka kutembea hapo mwanza tutawatumia pia hao.Kumbe hata mwanza sato wanatumwa.
Sato wa bwawa hao
yes na tabora pia.Tabora je?
ndioGharama za usafirishaji ni wewe muuzaji?
sawa ondoa shakaNalipa baada ya mzigo kufika kwangu au?maana matapeli in wengi sana
ndoo ndogo inaingia kilo ngapi?ndoo ndogo 80,000/-
ndoo kubwa 140.00/=
box (samaki mmoja) 8,000/-
karibuni
jamani mi nataka ndoo kubwa please.Habari wapendwa, wale walaji wa samaki aina ya sato karibuni mtoe oda ili tukutumie samaki moja kwa moja kutoka mwanza.
samaki watapakiwa kwenye ndoo ndogo au ndoo kubwa na box (samaki mmoja) 8,000/-, kutokana na wewe utakavyo hitaji.
contact:
0755270727
Mkuu mbeya je? Na naweza kupokea baada ya muda gani mfano wakaondoka kesho? Ni wabichi tu au hata wakiokaangwa piayes na tabora pia.
mbeya bado hatujafika, ila ukitaka wa kukaanga itakuwa rahisi utapata mzigo siku ya pili.Mkuu mbeya je? Na naweza kupokea baada ya muda gani mfano wakaondoka kesho? Ni wabichi tu au hata wakiokaangwa pia