Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji freezer kuanzia futi 6 na ujazo kuanzia lita 550. Kampuni iwe westpoint, hotpoint, whirlpool, Boss, Hisense, samsung. Isiwe imetumika sana na iwe umenunua dukani ukiwa na warrant...
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Mileage 35000 Ina mwezi toka inunuliwe Bei 35 mils Cc2500
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Kwa wale wote wenye mahitaji ya nyumba za kupanga na kununua,viwanja,estate management na huduma zote za majengo kwa kanda yote ya ziwa.Wasiliana na M&D Logistics Ltd waliopo Mwanza kwa huduma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Deleted
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Viti vya Barber shop (saloon ya kiume) vinauzwa vipo chang'ombe maduka mawili. Bei 350,0000 kila kimoja. Call/whatsapp :0659782778
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Nataka kuandaa International Business Event hapa Dar event itachukua siku 5 hivi Je kuna mnaweza ku recommend top 5 events management companies ( zenye website only). Kama kuna issues za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta taa za kwenye bustani ziwe za solar nitazipata sehemu gani kama kuna mtu anauza naomba pm
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu. nauza simu zifuatazo: 1. LG 3 cat6-550,000tsh 2. samsung s3- 350,000tsh 3.samsung s4- 420,000tsh 4. samsung note 2- 450,000tsh 5. samsung note 3- 600,000tsh 6. LG pro- 500,000tsh...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu. nauza simu zifuatazo: 1. LG 3 cat6-550,000tsh 2. samsung s3- 350,000tsh 3.samsung s4- 420,000tsh 4. samsung note 2- 450,000tsh 5. samsung note 3- 600,000tsh 6. LG pro- 500,000tsh...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Wadau generator ipo katika hali nzuri ya utendaji. Mnunuzi anakaribishwa.
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Natafuta laini ya tigo pesa na m pesa...kama wewe unazo ama unayo haina shida yoyote wasiliana nami fasta ama ni pm..pesa nje nje Nipo mwenge dar es salam
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau, ningependa kutambulisha baadhi ya huduma tunazotoa kwa watu au makampuni kupitia StarArts. *ukiwa na swali lolote nitajibu kwa uwezo wangu, Asanteni sana.
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Kipo Kivule-Sirari. Ukubwa 400 msquare(20m×20m). Bei chee Tshs 1,800,000/= Umeme na maji vipo. Mita 150 kutoka barabara kuu. Gari kubwa inaingia mpaka kiwanjani. Kipo jirani na nyumba za kisasa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari JF Members Nauza modem ya Zantel yenye maelezo haya 1. Huawei mobile broadband 2. Model Huawei EC122 3. CDMA1X EVDO Rev. A USB stick 4. FCC ID. Qisec122 5. Made in China 6. Bei 25,000Tzs...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wadau Niliwahi leta uzi kuhusu project ya viwanja na leo nimeleta mrejesho kuwa Mungu mwema mradi umekamilika na vipo sokoni. Uzi wa zamani unaweza kuuvuta hapa. Mradi wa upimaji...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
mcbook pro inauzwa bei 1.2m location dar es salaam kwa ataekua interested ani pm for pictures price ni fixed!! number 0621653390
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Nauza simu tajwa hapo juu ambayo ni nyeupw na used. Ni single laini, mfuniko wake wa nyuma una crack kiasi. Ila iko vizuri na haichagui laini. Bei ni 120,000/= cash. Nicheki 0787-561703. Nipo dsm.
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Habarii ndugu zangu wanajamii forum,nauza kiwanja changu kina ukubwa wa miguu 35×35 na kipo sehemu nzurii kwa maelezo zaidii piga no 0658467996
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mashamba /Viwanja vinauzwa (Moshi Kilimanjaro) Mashamba /Viwanja vinauzwa (Moshi Kilimanjaro)
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Mashamba /Viwanja vinauzwa (Moshi Kilimanjaro) Mashamba /Viwanja vinauzwa (Moshi Kilimanjaro)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom