umelima kabeji... sawa!Habari, nimelima cabbage zitakuwa tayari kuanzia week ijayo, naomba kama Kuna mtu anafahamu soko Lake, tuwasiliane. Asante sana
Bahati mbaya siyo mtanzania ingawa naishi Tanzania Muda mrefu, cabbage nalimia Morogoro, namba yangu ni 0627748402. Asanteumelima kabeji... sawa!
uko wapi? hujasema...
namba ya simu, hujaweka.. dah
elimu ya kujieleza bado tatizo sana kwa watanzania wenye elimu na wasio na elimu
unauzaje kwa ujazo wa namna gani?Bahati mbaya siyo mtanzania ingawa naishi Tanzania Muda mrefu, cabbage nalimia Morogoro, namba yangu ni 0627748402. Asante
sawa mkuuTunajaza kwenye magunia, na kila gunia ni 120,000/= siwezi kusema linakuwa na uzito gani kutokana na kuweka size tofauti ya bidhaa
ilak ubali mazungumzo kwa baadae ya kidalaliKaribu sana
Ona huyu dalali keshaingia kati, hana meza wala mtaji....yeye tu na calculator.ilak ubali mazungumzo kwa baadae ya kidalali