Natafuta TV ya nchi 43

Natafuta TV ya nchi 43

maharco

Senior Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
116
Reaction score
35
Natafuta TV ya lg/sony au Samsung nchi 43 na kuendelea hata kama ni used ila iwe katika hali nzuri 0752340373
 
Mkuu tafuta mpya tuu kama utaenda kwa agent wa Lg au Sumsung utapata TV nzuri tuu ni bora ukapata 32 " Tv bora kuliko ukatumia hata 55" Tv ambayo rangi yake haipo sawa ni vile Bongo Tv ipo katika kundi la starehe ndio maana tunapata sana shida kupata Tv bora kwa fedha kidogo...
 
Nenda Game,kuna Hisense LEDTV 55'' bei ni Tzs 1.8 M ni nzuri sana hata ukitaka Smart Tv zipo ukubwa tofauti hela yako tu,Tv nzuri ni mpya used inakuwa shida
 
Mfianchi sasa hivi ni 4K,Smart TV,LED TV...1.8 napata TV macro,four ways mall au mall of Africa ya 2016 curved one na chenji inabaki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom