Niuzie simu tecno y3

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,732
natafuta simu used tecno y3 sio y3 + naihitaji sana kabla ya kesho jioni iwe katika hali nzuri

hata iwe ni ile ya tgo si mbaya


kama unayo na ungependa kuniuzia piga

0658825141
0621068486
 
nipo Dar ila ukiwa Tanga au Moshi kuna watu nawezza kuwatumia tukafanya biashara
 
npigie tena ww mtu wa iringa nimepoteza yo number
 
Back
Top Bottom