Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Fekon, boxer. In a mint condition cc150
0 Reactions
2 Replies
746 Views
Ndugu wana Jamvi, Heri ya Mwaka mpya 2017. Nimechimba kisima chenye urefu wa mita 80 na kufanikiwa kupata maji mengi tu. Tatizo nililo nalo ni kwamba maji haya yana chumvi nyingi sana kiasi kwamba...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Habari za mchana wakuu, naomba kuwajulisha kuwa nauza ufuta ninao mwingi sana ghalani kwa atakae hitaji njoo PM now nitakufikishia ulipo na kama upo nje ya Dar nitakutumia ulipo Mm nipo Dar.
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Note:Mzigo huu nimeshauza. Shukrani Nauza MacBook, 13 inch screen, 2.26GHz Intel Core 2 Duo, Operating system ni macOS Sierra Memory 2GB RAM(Inaweza kuongezwa mpaka 4 ama 8GB kwa kiasi kidogo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Size 37-41 Elfu 15000 rejareja 10000 Jumla punguzo lipo Wakazi wa dar unaletewa ulipo free Mikoani natuma unachangia nauli Text or cal 0654729498
2 Reactions
12 Replies
1K Views
kiko buswelu kahama, bei 3,000,000 ni squatter
0 Reactions
12 Replies
1K Views
For Sale Year of make: 2005 Mileage: 27,000 km Engine: 1300cc, VVTi Keyless entry Power door Alloy wheels Spacious interior Price: 9.0m (Negotiable)
0 Reactions
27 Replies
5K Views
kiwanja kinaunzwa mbweni mpiji block4 715sqm, kiwanja kipo mbele ya soko jipya linalojengwa kipo karibu na shule viwanja vya michezo, nisehemu nzuri. Bei 40,000,000 mawasiliano 0654545750
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Mimi ni mfanya biashara wa kusambaza mayai ya kuku wa kisasa. Tuna uwezo wa kusambaza tray za mayai hadi 300/siku kwa bei nafuu ya shilingi za kitanzania tsh...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kinyozi anahitajika salon ipo sinza,piga 0652710020
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nauza kiwanja kiko Mkokozi kigamboni kimepimwa kina vocha kwa mawasiliano 0625 540438.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa Mahitaji ya UMEME WA SOLAR na UMEME wa BACKUP wenye matumizi yote ambayo mteja anahitaji. Gharama zetu ni NAFUU na tunatoa warranty ya kutosha. Wasiliana nasi kwa simu namba...
0 Reactions
1 Replies
614 Views
Wakuu, Naomba kujuzwa vinakouzwa vitabu vya literature kwa bei ya jumla, Hasa novels kama vile UNANSWERED CRIES, THE INTERVIEW n.k, Pia plays kama vile THIS TIME TOMORROW, THE BLACK HERMIT, THIS...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza fridge, oven
5 Reactions
118 Replies
29K Views
Nahitaji mzalishaji au msambazaji wa Unga wa sembe tufanye Biashara. Mimi nipo Mtwara, karibu kwa aliye tayari tuwasiliane tufanye kazi pamoja. Namba yangu 0786841164. Asante
1 Reactions
0 Replies
918 Views
Hamjambo humu? Naomba kama kuna mtaalam wa mambo ya viwanda vidogo vya kukamua alizeti anisaidie nipate kinu Na filta ya kuchujia alizeti za kiwango kizuri. Kinu chenye uwezo wa kukamua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msichana mwenye uwezo wa kuongea kiingereza fasaha anahitajika; awe kidato cha 4 au 6 au fresh Graduate katika Mass Communications au social science, awe na interest ya kuwa presenter, awe mrefu...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
  • Closed
Kichwa cha tangazo hapo juu kinahusika Sifa ya simu -Ni original -Inatumia Laini moja -16GB -Ina rangi nyeusi -Imetumika kwa miezi 6 tu tokea itoke dukani Bei -Bei ni Tsh 300,000/= Sehemu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Salama, Nipo Dar es Salaam nauza samaki aina ya kambale (catfish) kwa mauzo ya jumla kuanzia nusu tani (500kg) kwa order. Kila kilo ni sh. 6,000. Available are fresh Not frozen / dried...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Residential plot size 800 sqm in an upmarket and extensively developed area of Block `F`, Tegeta. Corner plot, fully serviced with water and electric power utilities, duly accessible, and has a...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…