Nahitaji kinu cha kukamua allizeti

maselengo

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
325
167
Hamjambo humu?

Naomba kama kuna mtaalam wa mambo ya viwanda vidogo vya kukamua alizeti anisaidie nipate kinu Na filta ya kuchujia alizeti za kiwango kizuri.

Kinu chenye uwezo wa kukamua kuanzia tani 4 kwa siku ..naomba huu msaada Na bei zake pamoja na made wapi?
 
SIDO mashine wanazo za aina tofauti zinazoendana na mazingira yetu fika ofisi za sido zilizopo karibu yako
 
Back
Top Bottom