Je wewe ni msichana mwenye kipaji cha Utangazaji?

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
1,474
1,080
Msichana mwenye uwezo wa kuongea kiingereza fasaha anahitajika; awe kidato cha 4 au 6 au fresh Graduate katika Mass Communications au social science, awe na interest ya kuwa presenter, awe mrefu kuanzia futi 5, awe presentable pia awe na moyo wa kujitolea. Location: awe anaishi Mwanza mjini, pm kwa mawasiliano zaidi
 
Back
Top Bottom