Plot for Sale in Block F, TEGETA, Dar es Salaam

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Residential plot size 800 sqm in an upmarket and extensively developed area of Block `F`, Tegeta. Corner plot, fully serviced with water and electric power utilities, duly accessible, and has a completed outer building (servant's quarter) structure. (PRICE IS NEGOTIABLE!)

Price: Tsh.150,000,000

Phone: +255 657 145555 & 755 099 291
Area: Dar Es Salaam -

Located about 1km from the ocean beach and about 0.5km from the main Bagamoyo Road.
 
Nimegundua kuwa mimi ni masikini mno,kiwanja cha milioni tano kinanishinda hapa zinazungumziwa milioni mia na hamsini kwa ajili ya kujenga nyumba ya makazi,na hiki ni kiwanja tu,bado ujenzi...............kweli vidole havilingani.samahani sikusudii kuharibu tangazo lako...........
 
Pole sana kwa umasikini wako . nadhani jitihada za makusudi zinahitajika ili ijitoe hapo
 
Residential plot size 800 sqm in an upmarket and extensively developed area of Block `F`, Tegeta. Corner plot, fully serviced with water and electric power utilities, duly accessible, and has a completed outer building (servant's quarter) structure. (PRICE IS NEGOTIABLE!)

Price: Tsh.150,000,000

Phone: +255 657 145555 & 755 099 291
Area: Dar Es Salaam -

Located about 1km from the ocean beach and about 0.5km from the main Bagamoyo Road.

800 sqm, Residential, and location Tegeta = 150 Millions??????????
Are you really serious? what is the reason for that plot to command too much like that? Do you really undestand the value of land in that area? And it is a residential plot and not commercial.

Anyway, all the best!
 
Acha mambo yako wewe huna hera pita kimya , 150m kwako ni nyingi na unaweza kufa hata hujaishika . wenzako wanazo waachie. tegeta ni kubwa mpaka ununio kule nadhani wewe unajua magengeni tu
 
sidhangai iyo ndio bei ya viwanja tegeta block F......
 
sana ulipaswa kuuza tsh20m!umeweka udalali kubwa sana mkuu!ni bora nikanunue pagala manzese kisha nijenge
 
Residential plot size 800 sqm in an upmarket and extensively developed area of Block `F`, Tegeta. Corner plot, fully serviced with water and electric power utilities, duly accessible, and has a completed outer building (servant's quarter) structure. (PRICE IS NEGOTIABLE!)

Price: Tsh.150,000,000

Phone: +255 657 145555 & 755 099 291
Area: Dar Es Salaam -

Located about 1km from the ocean beach and about 0.5km from the main Bagamoyo Road.

Fvkc you!
 
Nimegundua kuwa mimi ni masikini mno,kiwanja cha milioni tano kinanishinda hapa zinazungumziwa milioni mia na hamsini kwa ajili ya kujenga nyumba ya makazi,na hiki ni kiwanja tu,bado ujenzi...............kweli vidole havilingani.samahani sikusudii kuharibu tangazo lako...........

wala sio masikini Wenye uwezo wako ndo tupo wengi, napambana!
 
Stop being drunkard.....!!!!

Or you are money monger......

Ndio umnao haribu soko za ardhi hapa mjini... Tapeli wakubwa nyie middle men.....!!!

Unless somebody is dead or most stupid to buy 800sqm at TEGETA....

Udalali utakuua...... silly minded.... even to know or estimate a land value of certain area hujui.....

GO BACK TO SCHOOL... Quick...

Residential plot size 800 sqm in an upmarket and extensively developed area of Block `F`, Tegeta. Corner plot, fully serviced with water and electric power utilities, duly accessible, and has a completed outer building (servant's quarter) structure. (PRICE IS NEGOTIABLE!)

Price: Tsh.150,000,000

Phone: +255 657 145555 & 755 099 291
Area: Dar Es Salaam -

Located about 1km from the ocean beach and about 0.5km from the main Bagamoyo Road.
 
tegeta pakishua kumbe... nilitaka kuuza kiwanja changu ngoja niache kwanza...
 
is it at its NET REALIZABLE VALUE LESS COST TO SELL or
JUST ITS CARRYING FUTURE COST?
 
This is too much!!!!! Block 'F' Tegeta nimeshuhudia watu walionunua na kuuza viwanja siku za hivi karibuni hiyo bei iko juu sana!!!!!!! Jamani Plot ya Sqm 800 tegeta iwe milioni mia na hamsini za kitanzania. Something might be wrong. Akiri unapoambiwa ukweli na kuwa mkali wakati hao unaowajia juu ndo wateja!!!!! usidhani una operate katika ulimwengu wa peke yako! Hiyo bei iko juu sana!! Jamani mnaharibia madalali sifa kwa kupaisha bei namna hii. Ndiyo maana watu wakitaka kuuza mali zao wanakataa madalali. Samahani Akiri kama nimekukwaza lakini eneo hilo hilo ulomention kuna jamaa yangu kanunua Plot ya Sqm zinazotaka kuwa kama hizo kwa bei ya 25M.

Residential plot size 800 sqm in an upmarket and extensively developed area of Block `F`, Tegeta. Corner plot, fully serviced with water and electric power utilities, duly accessible, and has a completed outer building (servant's quarter) structure. (PRICE IS NEGOTIABLE!)

Price: Tsh.150,000,000

Phone: +255 657 145555 & 755 099 291
Area: Dar Es Salaam -

Located about 1km from the ocean beach and about 0.5km from the main Bagamoyo Road.
 
Fvkc you!
unitukana kwa lipi? na kosa langu ni nini? umasikini wako wewe na wazazi wako unanitukania nini mimi . mimi siyo mmiliki wa hivi viwanja mimi muuzaji na mwenye mali anapanga bei mimi nikiuza nalipwa 5% kosa langu ni nini?
 
this is too much!!!!! Block 'f' tegeta nimeshuhudia watu walionunua na kuuza viwanja siku za hivi karibuni hiyo bei iko juu sana!!!!!!! Jamani plot ya sqm 800 tegeta iwe milioni mia na hamsini za kitanzania. Something might be wrong. Akiri unapoambiwa ukweli na kuwa mkali wakati hao unaowajia juu ndo wateja!!!!! Usidhani una operate katika ulimwengu wa peke yako! Hiyo bei iko juu sana!! Jamani mnaharibia madalali sifa kwa kupaisha bei namna hii. Ndiyo maana watu wakitaka kuuza mali zao wanakataa madalali. Samahani akiri kama nimekukwaza lakini eneo hilo hilo ulomention kuna jamaa yangu kanunua plot ya sqm zinazotaka kuwa kama hizo kwa bei ya 25m.

akiri matope
 
This is too much!!!!! Block 'F' Tegeta nimeshuhudia watu walionunua na kuuza viwanja siku za hivi karibuni hiyo bei iko juu sana!!!!!!! Jamani Plot ya Sqm 800 tegeta iwe milioni mia na hamsini za kitanzania. Something might be wrong. Akiri unapoambiwa ukweli na kuwa mkali wakati hao unaowajia juu ndo wateja!!!!! usidhani una operate katika ulimwengu wa peke yako! Hiyo bei iko juu sana!! Jamani mnaharibia madalali sifa kwa kupaisha bei namna hii. Ndiyo maana watu wakitaka kuuza mali zao wanakataa madalali. Samahani Akiri kama nimekukwaza lakini eneo hilo hilo ulomention kuna jamaa yangu kanunua Plot ya Sqm zinazotaka kuwa kama hizo kwa bei ya 25M.
hivi kwa nini mnaingilia v2 visivyo wahusu, hao nao wajia juu hawawezi kuwa wateja kila mtu anaweza kuuza mali yake kwa bei aitakayo kulingana na aina ya wateja alionao. mbona wenzenu hawalalamiki na mmoja mekuja kafika 80m . sasa ninyi mnalalama ki2 gani? we unajua alinununa bei gani. na tayari kiwanja kimeendelezwa kuna nyumba , umeme maji . mbona ostabey kiwanja cha sqm 2000 kinauzwa $ 700,000? unabisha njoo nikupeleke ukaone ili uingie barabarani kuandamana . mteja ndiyo anapanga bei ya kuuzia mimi nikiuza nalipwa 5% hivyo hata nikiongeza bei hainisaidii lolote
 
Watu sijui wakoje we ukiona huwezi kununua kaa kimya wapo wenye pesa zao khaaaa.... Yaani watu tuna roho za korosho kukatishana tamaaa mnakeraaa haswaaa mbn watu wananunua tu wenye nazo we huna piga kimyaaaaa......
1483887767007.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom