Natafuta mzalishaji au msambazaji wa unga wa sembe

homehome

Member
Jul 19, 2016
76
51
Nahitaji mzalishaji au msambazaji wa Unga wa sembe tufanye Biashara. Mimi nipo Mtwara, karibu kwa aliye tayari tuwasiliane tufanye kazi pamoja.

Namba yangu 0786841164.
Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom