Nauza samaki aina ya Kambale

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Wakuu Salama,
Nipo Dar es Salaam nauza samaki aina ya kambale (catfish) kwa mauzo ya jumla kuanzia nusu tani (500kg) kwa order. Kila kilo ni sh. 6,000. Available are fresh Not frozen / dried.
Wasiliana nami kwa namba hii 0673158730.
 
daaa umenikumbusha migori mtera.... 1300 per kg mtoni town iringa 3000 per kg ni mwanzo mzur ndugu wasogeleee na perege.....
 
Kwani wewe kambake humjui bana?
Inasaidia kujua ukubwa what ifnataka wale wakubwa ambae mmoja tu anajaa kg au wale wadogo wadogo watano kujaa kg?!
Anyways unaanzia mbali sana ungekua unauza kg kuanzia 50 hivi ningekua mteja wa kudumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom