SOLD: Nauza Samsung Galaxy S4

Status
Not open for further replies.

zero percent

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
559
644
Kichwa cha tangazo hapo juu kinahusika

Sifa ya simu
-Ni original
-Inatumia Laini moja
-16GB
-Ina rangi nyeusi
-Imetumika kwa miezi 6 tu tokea itoke dukani

Bei
-Bei ni Tsh 300,000/=
Sehemu nilipo
-Nipo Arusha Sakina

Usalama
-Kuhusu usalama Usijali tunaweza kwenda kuandikishana kwa balozi au mjumbe

Kwa anayeitaka aje pm
 
a570c413525d3be5a091b4fbc2e0be2c.jpg
 
Vp upande wa chaji mkuu maana s4 nilizowahi kuona zinakula kwelikweli!! ?
Inategemea na matumizi mkuu kama unatumia internet muda wote (data ikiwa on muda wote) inakaa masaa 8-12

Ila kama hutumii sana Internet inakaa zaidi ya hayo masaa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom