Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini wana jf ninauza keki nipo Shinyanga kwa wanaohitaji, pia natengeneza keki kwaajili ya birthday, kipaimara, komunyio, na sherehe mbalimbali kwa bei nafuu kwa anayehitaji tuwasiliane PM.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ipo complete Bei ni 120,000TZS Nichek 0657627376
0 Reactions
9 Replies
926 Views
Habari wadau. nina nyumba niliijenga picha ya ndege mwaka 2005 na nikaongezea vyumba mwaka 2014 ila nimekwama kwenye kumalizia madirisha ya aluminium. Nyumba hii ninaipangisha na ninakaribisha...
0 Reactions
3 Replies
808 Views
cc1750, petrol, km58,000, silver,inadaiwa tra300,000 imepata dhoruba upande wa kulia shavu la mbele na nyuma kidogo namba DFB inataka 9.5m mazungumzo yapo. nashindwa ku upload nadhan net haiko...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wakazi wote wa Morogoro na viunga vyake. Je una tatizo lolote katika laptop yako? Una flash au memory card inayokusumbua? Tatizo lako limekwishaaa… Muone fundi aliyebobea katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ipo maeneo ya Chamwino Morogoro, mita 100 kutoka lami ya Iringa road ina maji umeme bado haujavutwa ila upo wa uhakika na maji ya uhakika, bei mil 23 maelewano...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za jumatatu wakuu, kuna ndogo angu kaamua kujiajiri mwenyewe. Ameanza na mtaji wake mdogo wa laki mbili huwa anachukua viatu dar nakuvipeleka mkoani Kama Moro na Dodoma. Sasa anahitaji...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Kabati lenye sehemu ya kuweka nguo na vyombo..upana liwe futi nne...liwe ktk hali nzuri..nipo dsm..no 0658327429. Karibuni.
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Shamba lipo Tanga Pongwe panapojengwa mji mpya. Heka nne (4) inatakiwa kubadilishana na noah namba D new medel au noah vox. Sifa za shamba; Kilometer mbili na nusu toka main road ndio kunajengwa...
0 Reactions
5 Replies
894 Views
Vipo kigamboni mwasonga Bei 1.5M ukubwa meter 20*30 Mawasiliano: 0692713599 Karbuni
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninatafuta paracords (parachute cords) kama za raba (viatu). Kama unafahamu zinapatikana wapi dar, nijulishe.
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Weka bei, nahitaji kingamuzi na dishi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta kiwanja bagamoyo mjini..hadi kilomo mwisho ukuni. Ukubwa nusu eka..umeme uwepo na kisiwe mbali na barabara.. Bajeti mil 2. Karibuni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF mwenye kiwanja Goba chenye Hati tu tutafutane PM. Minimun sqm ni 1000 Maximum sqm ni 2000. Bei tutaelewana lakini iwe reasonable.
0 Reactions
3 Replies
816 Views
Habari. INAPANGISHWA: Ni vyumba 2 (Viwili) kati ya hivyo kimoja ni Masta, Yenye Sebule kubwa na Jiko Lake pamoja na Choo cha Nje kwa Wageni. Nyumba ina Sakafu ya Tiles, Ceiling ya Plywood na...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Habari zenu waungwana? Nauza Toyota Caldina ya mwaka 2002 Ukubwa wa Engine Cc 1990 Kilometa elfu 63,000 Rangi ya Gari Pearl white Namba ni DFT Ipo katika hali nzuri sana bei milion 9.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, Taarifa njema kwa wanachama na ambao wanatarajia kujiunga, MoonAfricanLight inatoa fursa pekee kwa watu 50 wa kwanza watakao wahi, ambao watalipa tsh 30000/ tu watasajiliwa na kuwa...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Solar zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama NAFUU ZAIDI. TUPO SINZA KWA REMY. WASILIANA NASI 0714373488/0762246488/0784232526 INSTAGRAM @snlsolarltd
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bestates Properties Contact: 0786157788 kinauzwa • TSh milioni 185 • kijichi, kata ya Mtoni Kijichi Wastani wa ukubwa ni 900sqm • kina leseni ya makazi • kina nyumba ya vyumba 4 vya kulala na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji korosho kwa wingi. Korosho ambazo zishabanguliwa, zile nyeupe na ambazo hazijachanganywa. Packaging ziwe katika kilo moja moja... Nipo Dar... Kama unazo kuja inbox
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom