ninauza viwanja vyenye ukubwa kuanzia metre 17.5 kwa 35 hadi heka 10 kwa bei ya mill 4 hadi 30 viwanja au Mashamba yanafaa kwa ujenzi wa Shule, Supermarket, Sheli, na makazi
viwanja vinapatkana...
Habari za mchakamchaka wa sikukuu Wanajamvi.
Naombeni kueleweshwa kwa wale wajuvi.
Wakati benki ya CRDB inaanzishwa ilikuwa ikitambulika kama Cooperative Rural Development Bank(Benki ya...
Ni Used LAPTOP. Aina yale ni Dell PC- inspiron 1525. RAM ni 2 GB, Rating yake ni 3.1 na Hard Disk ni 160 GB
BEI = Tsh 170000/= Tu
TATIZO LAKE = BETRI HALIKAI NA CHARGE HATA Sekunde...
Toyota Ist.
Habari jipatie magari mazuri kutoka Japan na ndani ya nchi,Kama hilo hapo juu lipo Japan gharama ya jumla ya kununua na kulisafirisha mpaka hapa nchini ni 5.5mil,utalipia mwenyewe...
Salaam wadau
natafuta gari ya Kukodi kwa siku 7..gari yangu imepata shida na itakua tayari baada ya siku 7.Gari yoyote ndogo kama premio,vits,porte etc.Gari itatumika hapa Dar kutoka nyumbani...
Wadau naomba yeyote mwenye Shamba lenye ukubwa wa Kati ya 1 au 2 anifahamishe.Shamba lisiwe zaidi ya Mita 300 Kutoka Barabara iendayo Mwembe mdogo kuingia ndani.Napatikana Kwa namba 0752334403.
HABARI WANA JF HUSIKA NA KICHA CHA HABARI HAPO JUU.
KIWANJA KINAUZWA
Maeneo ya Mwanagati karibu na shule ya Mzinga English Medium.
Umbali wa kilometa 7 kutoka Banana ( Nyerere Road ).
Eneo...
Kitunda Magole(Kiwanja)
Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo. 20 X 20 Miguu.
8.6Kms from Banana.
18.9Kms from Clock Tower.
Bei: 6.0M
Mwaka 2010 kampuni ya Trevo imegundulika kutoa virutubisho halisi kwa ajili ya mwili wa binadamu. Katika chupa moja ya TRÉVO kuna virutubisho 174 ambavyo vimekusanywa kutoka maeneo mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.