Habari wadau. nina nyumba niliijenga picha ya ndege mwaka 2005 na nikaongezea vyumba mwaka 2014 ila nimekwama kwenye kumalizia madirisha ya aluminium.
Nyumba hii ninaipangisha na ninakaribisha wawekezaji makini wamalizie na kupokea sehemu ya kodi kwa miaka kadhaa. napatikana 0621107223