Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Suzuki carry(kirikuu) namba C, iko ktkt hali nzuri, ipo Ubungo- DSM inauzwa mil 5 tu mawasiliano: 0713674291
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huhu ni mfumo wa kieletronic wa hospitali,mfumo huo umetengenezwa na sow technologies na unapatikana kwa bei nafuu kabisaaa karibuni sana.Na hiyo ni demo video ya mfumo huo kwa masiliano piga +255...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Viwanja vilivyopimwa kiserikali vinauzwa Mkuranga. Hatua iliyobaki ni mnunuzi kwenda kuchukua HATI. Kilometre 3 toka Mkuranga Mjini; Umeme unapita na uendelezaji wa maeneo umeshaanza. Bei ni...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Autoguru workshop Tunatengeneza na kuuza fenicha kwa Jumla na rejareja. Kwa fenicha kama: Vitanda vya wakubwa na watoto Double decker kwa shule/Hostel na majumbani Dining Tables Dressing Tables...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Autoguru garage ni kampuni inayoshughulika na utengenezaji wa magari kuanzia, kunyosha magari na kupiga rangi service za magari diagnosis engine overhaul kubadilisha vioo Alarm systems Fleet...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zeni, Mimi ni muuzaji wa asali mbichi original kutoka Tabora na Kigoma ipo nyingi sana kwa bei ya jumla ya 220,000/- kwa lita 20. Anayehitaji anicheck kwa kupiga au kunitumia sms au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heri ya mwaka 2017, mwaka wa mafanikio makubwa na utimilifu wa mipango na ndoto zetu za miaka mingi. Kwa neema ya Mungu nimepata order ya kusupply mchele 30000 metric ton kwa mwezi kwa muda wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Good condion Betr inakaa sana na chaj Haina mchubuko wowote ule Tigo 0718017711 Voda 0743553553
0 Reactions
4 Replies
812 Views
Wadau wa biashara!!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji Laptop haraka sana kwa ajili ya mwanafunzi. 1. Bajeti yangu Tsh 200,000/- 2. Napatikana Kigamboni, Dar 3. Hotline: 0659...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nahitaji Mtaalamu wa kunijengea bwawa la kufugia kambale kisasa litakalokuwa limejengwa na mabanzi na karatasi maalum la nailoni lenye uwezo wa kufugia kambale 1000. Mimi niko Moshi Vijijini -...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta Noah Old Model aidha LiteAce au TownAce (G exurb au super extra Limo), ya kuanzia mwaka 1999 na kuendelea, iwe na namba C** au D** na iwe kwenye hali nzuri. Bajeti yangu ni 8m. Sihitaji...
0 Reactions
6 Replies
995 Views
Habari yako, Je, unatamani kumiliki gari/magari bora zaidi lakini huna fedha za kutosha.?! Umechoka kununua magari kwa watu nawe unatamani kuagiza gari/magari bora na kwa gharama nafuu sana...
2 Reactions
71 Replies
8K Views
Kwa wale wanaokaa mbinga mjini kuna kiwanja kinauzwa pamoja na nyumba ambayo bado haijakamilika bei ni ya kawaida sana uwanja upo wa kutosha
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Heri ya Mwaka Mpya Nauza Kiwanja changu kilichopo mkoani Dodoma mahali panaitwa MAKULU ukiwa njiani kwenda Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Ukubwa ni Hatua 30 kwa 20. Bei ni Milioni Mbili tu na...
1 Reactions
1 Replies
806 Views
Salaam wakuu, Niunganisheni na hawa watu, nataka kujenga maeneo ya buhongwa mwanza, ikiwezekana awe wa maeneo hayo
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Soft ice cream machine for sale, MeiQile brand, ex- china. New..!!! Price; Tshs 3.3M. Capacity: 22ltr/hr. Voltage: 220v. Power: 1.85kw. Dimensions: 540*520*850cm. Weight: 110kg. 3...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF Habari na poleni kwa mihangaiko ya kimaisha. Kuna plot inauzwa kwa ajili ya makazi ipo Mtegu, karibu na Kibada. Ina ukubwa wa futi 70 kwa 57. Kipo karibu na barabara kuu ya kuelekea...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Gari haina shida yoyote ile Full vibal Full ac Haijawai kugongwa hata mara moja Bei ni 11800000 Biashara maelewano mi ndo mmiliki Tigo 0718017711 Voda 0743553553
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni mpya kabisa nimeitumia siku mbili tu Horsepower ni 1.5 ina ubarid wa kutosha na matumiz madogo sana ya umeme nichek Tigo 0718017711 Voda 0743553553 Bei ni 550000 punguf unaongea
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom