Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana jamvi , natumai ni wazima. Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kuanzia magomeni hadi kimara mwisho. Nyumba iwe ya kuanzia vyumba viwili vya kulala sebule master na sitting room...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza Samsung Galaxy S7 Very clean condition Serious buyers 0654766056 no exchange deals GB 32 Bei 830,000 Phone with charger
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Nauza Samsung S6 Edge GB 32 Bei 750,000 Serious buyers 0654766056 Clean condition No exchange deals
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Price 250,000 Imetumika miaka miwili Haina tatizo lolote Contact 0719 949 141
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wadau nahitaji laptop aina ya Dell au hp Kama uko nayo tafadhali weka specifications hapa ili tuwacliane zaidi offer yangu Ni 300k nipo Dar MREJESHO Nashukru kwa ushirikiano wenu wadau...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii hapa chini, hii inatakiwa 170 milioni, ipo Tandika ina bedrooms 4,ina sitting room,ina dining, jiko na kisima. Inauzwa na vitu vyake vya ndani bado vipya na nyumba ni mpya
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nauza kiwanja meta 1428 kipo kigamboni mikwambe karibu kabisa na mradi Wa Nyumba za nhc kimepimwa kinahati being 35 millioni tu 0755 469696 mindio mmiliki halali
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Waungwana, laptop tajwa hapo juu tafadhali Naomba tuwasiliane, hata kama ni movie. Mwenyewe nayo anakaribishwa. Bei maelewano.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Je wewe ni mjenzi au unafyatua matofali au muuza cement kwa bei ya rejareja!? Tunauza cement ya camel kwa bei ya chini kutoka moja kwa moja kiwandani. Gharam za usafiri na ushushaji utalipa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama heading inavyosomeka wadau,nahitaji hiyo kitu full yaani kuanzia decorder hadi dish,ofa 70,000 mwisho Jumamosi. Maeneo:Uwe IRINGA/IFUNDA/MAFINGA/MAKAMBAKO.
0 Reactions
1 Replies
693 Views
(1)KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI;KIPO KIBUGUMO;KIMEPAKANA NA SECONDARI YA KIDETE.Kiwanja hicho kina ukubwa wa ekari moja.Sio mbali kutoka barabara kubwa ya lami.Bei mil 40 tu.Mazungumzo yapo.Contacts...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza kitanda cha mtoto sh.250,000 na kitanda double decker sh.200,000. Sababu ya kuuza nina hama kikazi. Napatikana Mbezi ya Kimara.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Karibu mashine inauzwa hii mwenyewe amepata dharura anataka pesa ya fasta Milioni 11, njoo na fundi wako kabisa. PM kwa serious buyers,karibu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jiajiri kupitia MTAJI mdogo.wa vifaranga watakao KUPA Faida kubwa Si hivyo tu.utapewa ELIMU..USHAURI BURE Juu ya ufugaji.. WAHI OFFA hii ya Mwaka ..Kwa ajili yako
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujua mashine ndogo ya popcorn ni sh. Ngapi?
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Wataalam wa kuzuia kutu kwenye mabomba na matanki ya chuma chini ya ardhi na yaliyopo ndani ya maji. Tunapatikana 0713327880
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Nauza gari aina ya NOAH VOX 2002 MODEL. Ipo katikati hali nzuri BEI; Milioni 9.5 Mawasiliano: 0717255027 Haina tatizo lolote, nauza nijikwamue kidogo kwasababu nimepata mtikisiko wa kiuchumi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam wadau..nauza nyumba ipo Makumbusho stand kwa nyuma karibu kabisa na hotel ya Mesuma.Ina eneo la kutosha sana.Bei ni Mil.160 maongezi yapo.In hati miliki. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
jumla ya vyumba ni vinne ,master Mbili +Sebule+Dining Room+jiko+stoo +tank maji +fensi na Parking Ipo mikadi kigamboni Bei: Tsh. Laki 5 kwa mwezi (malipo ni mwaka) Dalali yangu ni mwezi mmoja...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Nauza laptop aina ya Acer aspire,ina inch 14,inatumia 8.1 window,Intel celeron 2ghz,ina 2GB ram na 500GD HDD Ni mpya iliyotumika wiki tatu tu,ni nyepesi kubebeka ina uzito mdogo hata kwenye mkoba...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom