Je ukiweka laini tofauti kwenye simu; Moja ya haya maneno yanajitokeza ????
Network Unlock Code
SIM Unlock code
Enter SIM Me Lock
Enter NP Code
Please Input Network Pin
Service Provider unlock...
Habari zenu
Naomba msaada hasa wasafirishaji wa mizigo kwa njia ya barabara au wenye malori naomba kujua gharama za
1. Road Toll 2. City Council 3. Na zozote zinazotakiwa kulipwa kwa lori kuingia...
Watu wengi tumekuwa tukitumia vipodozi kama losheni, mafuta, sabuni, poda, krimu na pafyumu kila siku kwa malengo ya kupendeza na kuvutia. Pia tunatumia ili kuondokana na matatizo kama vile...
Je, unahitaji kutangaza biashara yako, ionekani na mamilioni ya watu na likes kati ya elfu moja hadi elfu thelathini (1k - 30k). Tangaza nasi Pixedon Media kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0763777727
Till m.pesa IPO active naiuza tsh 170,000/= mazungumzo yapo maana biashara kupatana, haina tatzo lolote,
Ninazo 3 hivyo mtaji umepungua kuendesha zote 3 nauza 1, contacts 0765-190024.
Ungependa kuanza mwaka kwa kutumia vitu asilia vitakavofanya ngozi yako iwe yenye kuvutia na kuepukana na magonjwa ya ngozi muda wote?ANATIC HERBAL SOAP ni sabuni iliyothibitishwa kimataifa na...
Habari wandugu. Hali ngumu. Nauza kitanda mninga, jiko la gas, madiaba ya maji, godoro, meza kubwa, kiti cha mninga, stuli, mashuka baadhi na mapazia vyote kwa laki 2. Vitu vipo mbezi beach. Namba...
Wakuu heshima zenu.
Kama thread inavyosema, nyumba ina sifa zifuatazo
-Vyumba vitatu, kimoja master
-Dinning, sitting room
-Jiko na choo cha jumuia
-Choo cha nje
-Ina sifa zingine, isipokuwa...
Ni kweli kabisa, hakuna tajiri hata mmoja ambaye hajawahi kabisa hata siku moja, kupoteza pesa yake.
Vilevile ni kweli kabisa, wapo maskini wengi tu, ambao hupoteza pesa zao kila siku bila...
@liquidmicrofinanceltd: "Karibuni liquid microfinance tunatoa mikopo ya aina mbalimbali na kwa riba nafuu ili kukuwezesha wewe mtanzania mwenye kipato cha chini kufika malengo yako.
"Unapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.