mkwawa complex
Senior Member
- Dec 15, 2016
- 183
- 150
Ninazo machine (2) za kusaga-, Brand New complete pamoja na motors Zake. PIA NA NYINGINE (2) ZA KUKOBOA (BRAND NEW) NA MOTORS ZAKE. GOING CHEAP. ZOTE KWA JUMLA NAUZA KWA MIL 10 tu.DUKANI KWA SASA MACHINE HIZO(KWA IDADI HIYO BEI YAKE NI SHS 14 MIL. Mazungumzo yapo. MACHINE ZENYEWE ZIPO DSM MBEZI BEACH. PARTICULARS ZA MACHINE ZENYEWE NI KAMA IFUATAVYO:NGUVU YA HIZO MOTORS NI (20 HP) KILA MOJA.MODEL YA HIZO ZA KUSAGA NI BP-150; NA MOTORS ZA KUKOBOA NI MODEL NO-50. MAWASILIANO 0784 269805