Baiskeli ya wagonjwa Inatakiwa - Gurudumu 4

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,597
1,072
Napenda kujua wapi hapa Dar es Salaam pa kununua baiskeli hiyo second hand au iliyotumika. Haraka ni PM. Nafikiri ni gurudumu 3 au 4??

Thanks
 
Napenda kujua wapi hapa Dar es Salaam pa kununua baiskeli hiyo second hand au iliyotumika. Haraka ni PM. Nafikiri ni gurudumu 3 au 4??

Thanks
dah kunamahali nafanya kazi ungekuwa huku ningeifanyia utaratibu tuipate mkuu ila dah nshaikosa hiyo deal huko ni mbali sana boss
 
Back
Top Bottom