Nyumba inapangishwa

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
5,137
7,268
Ipo Mwanza. Room 3 mbili zina choo ndani, room moja master na makabati ya nguo ya ukutani, sebule,jiko,stoo,fenced,24hrs water supply. carparking area. 150mts from main road.
0755923565
 
Tsh ngapi?
Ingekua Dar tungeongea vzuri natafuta sn maeneo ya Kimara.
 
Dar sina. Ninayo nyingine Arusha Ngarenaro National Housing 4rooms. Kwa anayehitaji.
 
Mwanza 300,000 nyumba yote.
Ipo kiseke A
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom