J Johntz New Member Mar 27, 2015 4 2 Jan 10, 2017 #1 Ni tambalale cha tatu kutoka baharini gari inafika hadi kwenye kiwanja. Kiwanja kipo kigamboni Gezaulole Bamba beach. Kwa mawasiliano 0714150727
Ni tambalale cha tatu kutoka baharini gari inafika hadi kwenye kiwanja. Kiwanja kipo kigamboni Gezaulole Bamba beach. Kwa mawasiliano 0714150727
Kambaku JF-Expert Member Nov 12, 2011 8,182 30,815 Jan 11, 2017 #3 Bei ni kubwa na un realistic hadi kaka John anaogopa kuweka hadharani
R Mbuna JF-Expert Member Dec 30, 2015 2,283 5,359 Jan 11, 2017 #4 bei mkuu mbona unaleta tangazo kama limevaa kimini?
Amalinze JF-Expert Member May 6, 2012 6,780 5,300 Jan 11, 2017 #6 Weka Bei Ndugu Mbona Unaficha ficha?