Asante mkuu ngoja nifatilieNunua Sbt ni km 11.2 m hivi mm nimeagiza mkuu juzi juzi tu hapa.
www.sbtjapan.co.jp
Hiv carmy ya mwaka 2007 inaweza kufika ngapi ukiagiza hadi ikiwa barabarani..?Showroom inategemea pia ya mwaka gani coz kuna ya mwaka 2005 na 2007 ya 2005 unapata kwa mil 12 na 2007 mil 13.