VINAUZWA VINAUZWA

Boniphace Bembele Ng'wita

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
3,464
1,859
Wakuu nauza TV ndogo ya tumbo, 18' seti moja ya sofa(yaan lenye watu 2 na 3, gasi ya mihan kubwa na jiko lake la kioo..

BEI
TV........ 80,000|=
Sofa.....200,000/=
Gasi na jiko 250,000/=

Kwa jumla 480000/=

Karibun wote...

Njoo pm ntakupa no.....
 
Mkuu uchumi mbaya, watt ada za shule, kodi za nyumba na mahitaji mengine, ukizingatia hauna kipato kingine mkuu
Nimekusoma mkuu, nikadhani unahama.....samahani kama nimekukwaza kwa namna yoyote.....aagh nimeshindwa hata kujiongeza!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom