Amina!Hongera sana, Mwanzo mzuri.
Amina!Hongera sana Mungu abariki kazi ya mikono yako!
Asante nitalifanyia kazi wazo lako!Weka packaging ndogo ndogo za kuuza kwa Tsh 500 utauza mpaka basi,asilimia kubwa ya wamama wanaungia karanga za kununua toka sokoni zikiwa primitively packaged,
hiyo bei ya 6000 utauzia wachache mno
Zile karanga zinazouzwa mtaani TFDA wanazijua? Mleta mada mi ntakua mteja wako japo situmii ntahongaMkuu TFDA wanajua bidhaa yako hiyo?
Asante Mkuu!Safi sana..nimependa hii....naona kila mjomba anavyozidi kukaza, ndo watu wanazidi kukuna vichwa...
Nitakuunga mkono provided umithibitishie unatengeneza kwenye mazingira ya usafi
SMS hujibu na sim hupokei naingiwa na wasi wasi na biashara yako, au kuna namna?Asante nitalifanyia kazi wazo lako!