Mbona bei hajaandika hapo hiyo laki tano umeitoa wapi!!!!Laki tano kubwa sana, punguza bei mkuu.
Bei gani sasa?Mbona bei hajaandika hapo hiyo laki tano umeitoa wapi!!!!
Ni mpya kabisa nimeitumia siku mbili tu
Horsepower ni 1.5 ina ubarid wa kutosha na matumiz madogo sana ya umeme nichek
Tigo 0718017711
Voda 0743553553
Bei ni 550000 punguf unaongea
Ok mkuu umesomeka. Nadhan kwa vile umeweka namba wahitaji watakutafuta. Brand ni nzuri.Ninaitwa amcor