Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,585
- 1,771
Nauza Vitual reality box v2
mahala Dar es salaam
Condition Mpya
Bei 75000
VR box ni nini. Hii ni kama miwani ambayo unatumia simu yako kukufanya ujihisi upo kwenye real word mfano kama ni movie unajiona na ww uko kwenye hiyo movie kama ni games na ww unajihisi upo humo