Tigo ofa 4GB @ Tsh.2000 kwa wiki inapatikanaje?

mwambojoke

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
1,068
637
K
IMG-20170117-WA0007-1.jpg
wa watumiaji wa Tigo. Hii ofa inapatikana kwa vigezo vip??maana nikiangalia kwangu haipo ila kwa simu ya jamaa yangu anapata hiv. Anayejua pliz
 
Ukiunga hio kama ni mara yako ya kwanza umeliwa hela na kifurushi hawakupi.
 
offer maalumu ni mtu na mtu kila mtu ana vifurushi vyake, mara nyingi wasiotumia internet ndio wanaekewa Gb nyingi hivyo.

jaribu *148*05# uangalie bahati yako
 
Back
Top Bottom