Furniture za ofisini na computer zinauzwa

kabwinyola

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
560
681
Habarinii za siku ?

Vifaa safi vya ofisin vinauzwa kwa bei safi
1. Meza ndefu 140,000
2. Meza za kawaida za kisasa 2 @ 110,000
3. Viti vya ofisin 5 @ 40,000
4. Computer desktop ya kisasa @250,000

Kwa mawasiliano zaid Piga Namba
+25562799663

Au ni PM
 
Mkuu hivyo vifaa bado vipo? Hebu weka picha na mawasiliano yako. Asante
 
Habarinii za siku ?

Vifaa safi vya ofisin vinauzwa kwa bei safi
1. Meza ndefu 140,000
2. Meza za kawaida za kisasa 2 @ 110,000
3. Viti vya ofisin 5 @ 40,000
4. Computer desktop ya kisasa @250,000

Kwa mawasiliano zaid Piga Namba
+25562799663

Au ni PM
embu andika namba yako vizuri nikupigie basi mkuu
 
Back
Top Bottom