Nahitaji mashine ya kukatakata majani/nyasi kwa ajiri ya chakula cha ngo'mbe

Kama upon Mwanza, nenda duka lipo jirani na Mwanza Huduma, barabara ya Kenyatta kama unaenda Buhongwa, nimeziulizia Jana nikaambiwa laki tisa na arobaini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom