Kitanda kinaliwa na mdudu mweusi

vaxromeo91

Senior Member
Sep 16, 2015
153
72
Naomben msaada kitanda changu bado kipya ila kina mdudu mweusi hiv anakula mbao ndan kwa ndan na kuacha matundu sasa naomben ushaur nifanyaje
 
Uwe unatoa ushauri wa kiutu uzima mkuu,sio kila wakati comedy!
Umeshakuwa wewe!
Na wewe muuliza swali huna majirani au FUNDI selemara karibu? Kila kitu JF,mnachosha watu!
Mkuu kwani ushauri wangu ni wa ki utu ubovu!!! Kama huamini mwambie achome moto kitanda tuone kama mdudu hatokufa
 
Back
Top Bottom