Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza

Mtumwa baniani

Senior Member
Apr 13, 2013
128
26
Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai.
Walio na uwezo huo,tafadhali karibuni inbox.
Asanteni.
 
Mkuu umeyatoa wapi hayo maneno? Usikute hata tafsiri ya kiswahili yanasumbua
 
Bangala = Bungalow

Kizigula = happy ending

Mai Mai = bombadier
 
Back
Top Bottom