Nataka Rav4 old model Nomber D au C, milango 5 budget ml.6.8

Aisee ninayo namba A hata nikiamua kuuza siyo chini ya milioni 8, kuwa makini utatapeliwa huko pm
 
mkuu utapata wala wasikutishe, kama mie nilipata hiace super custom namba CQ kwa 9M tu, tena mchuma uko bomba kinyama engine 1kz inazinyanyasa kinomanoma daladala hapa town.
 
mkuu utapata wala wasikutishe, kama mie nilipata hiace super custom namba CQ kwa 9M tu, tena mchuma uko bomba kinyama engine 1kz inazinyanyasa kinomanoma daladala hapa town.
Naamini mkuu ntapata na sina haraka ata
 
RAV 4 1995-1999 zinauzwa 15mil TZS mkuu ,hata kama ni ya mkononi kwa bei yako ni ndogo sana mkuu.
 
m nna rav 4 ya 1999 namba C IMETEMBEA kilomita 55000 inaenda kwa 13 maongezi yapo,, gari bado imenyooka sema siitumiagi sana coz kwa kazi zangu nlibugi kuinunua.
 
Back
Top Bottom