Buzuruga Stendi
Member
- May 11, 2016
- 75
- 149
Nina eneo langu nalisafisha kwa ajili ya kuwa shamba,kwa hiyo napata kuni nyingi sana,kama huko maeneo ya Dar na Pwani na unahitaji kuni nyingi kwa ajili ya shule au vitu vingine kama hivyo,sherehe na hata misiba,tafadhali usisite kuwasiliana na mimi.
Usafiri ni bure nakuletea na pickup yangu mpaka mlangoni.
Usisite kuniPM,lazima tuweze kuelewana.
Phone 0652341734
Usafiri ni bure nakuletea na pickup yangu mpaka mlangoni.
Usisite kuniPM,lazima tuweze kuelewana.
Phone 0652341734