Nahitaji kununu king'amuzi

Osmokalu

Senior Member
Nov 13, 2015
185
147
Wana jamvi wa jukwaa hili nahitaji kununua king'amuzi,naombeni msada wenu ni king'amuzi gani kizuri na bei yake nipo Dar
 
Wana jamvi wa jukwaa hili nahitaji kununua king'amuzi,naombeni msada wenu ni king'amuzi gani kizuri na bei yake nipo Dar
Vingamuzi viko katika makundi mawili:-

1. Vingamuzi vya kulipia
2. Vingamuzi ambavyo sio vya kulipia

Kwa vingamuzi vya kulipia AZAM wanafanya vizuri, na kama bajeti yako ni kubwa na utamudu kulipia kila mwezi DSTV hana mpinzani. Mahitaji ya channel ndio kigezo cha uchaguzi wa kingamuzi sahihi.

Kwa vingamuzi ambavyo sio vya kulipia, FTA
- Yako matoleo mengi kwa ghalama tofauti tofauti.
- Mahitaji ya channel uzitakazo ndio ndio kigezo cha uchaguzi wa hizi FTA decoder.
- Vingamuzi vinavyofanya vizuri kwa sasa ni ALPHABOX na FREESAT V7 (hapa chagua kati ya Freesat v7 Max au Freesat v7 Combo)
- Vingamuzi vingine ni kama: QSAT, Strong SRT, GSKY, TIGER etl

Jifunze zaidi kuhusu hivi vingamuzi vya FTA kupitia hii thread
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom