Mkuu waone Merry water pale Victoria karibu na sheli ya oilcomHabari wanajamiiforums,
Nahitaji water pump au mota ambayo ni 0.25 HP, 220 V yaani single phase. Je nitapata wapi?
Naomba mwenye kujua zinapopatikana aniambie.
Shukrani kwa wote watakaonisaidia!