Mwenye lori Arusha to Tanga

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,381
Heshima kwenu wote,
Nahitaji kusafirisha tiles box 75,kutoka Arusha kwenda Tanga mjini.
Kwa yeyote mwenye lori linaloleta mzigo Arusha nakurudi Tanga na mzigo kidogo au tupu hilo litanifaa zaidi.

Kwa yeyote anayejua mtu anayeweza kufanya kazi hiyo anipe namba yake au aniPM.

Asante.
 
Ngoja waje mkuu, ila kuna vijana wana mikokoteni mkuu na wana mioyo ya chuma unaweza wacheki.

(Nachangamsha kijiwe wakati tunawasubiri)
 
Back
Top Bottom