Pata bidhaa ya kukuzia vifaranga

Martin Mhina

Senior Member
Jul 24, 2013
169
37
Vyungu Vyungu vya Joto kwa ajili ya kukuzia vifaranga vinapatikana kwa bei ya Tsh 15000/= na bei Jumla kuanzia Vyungu 5 ni Tsh 14000/= ni vizito na imara ,vinatumia mkaa mchache na Chungu kimoja kinahudumia vifaranga 100 tupo Temeke wailes na mikoan tunatuma mawasiliano 0714994833/0755485807 Karibu
 
kweli picha maana mi napata picha ya iko chungu kilivo duuuh si ntapika vifaranga wangu badala ya kukuza
 
Back
Top Bottom