Come27 JF-Expert Member Dec 1, 2012 7,692 7,357 Feb 7, 2017 #2 Umenikumbusha ayo maziwa kipindi nipo Mwanza
City Owl JF-Expert Member Mar 21, 2014 3,300 7,164 Feb 7, 2017 #3 Yale maziwa ya Mara ni mazuri sana.. Tatizo hayapatikani maeneo mengi. Nimeyamiss
R rodrick alexander JF-Expert Member Feb 12, 2012 16,359 22,509 Feb 7, 2017 #4 nimesikia kiwanda kimekufa sijui kama kweli ila ni maziwa bora sana ingawa hawayatangazi