Nyumba ya kupanga Bamaga, Dar es Salaam

JMWAKA

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
729
638
Ipo mwenge karibu kabisa na bamaga stendi master rum sebule na jiko vyote ndani maji 24hrs ndani yà geti na parking ipo bei laki230 ukishalipa hakuna bili yyte zaidi ya kujinunulia Umeme Luku ya kwako
e4d679c4722c481db03c4c72f0baec67.jpg
0e496687912ed086c28d6acb6dfaf492.jpg
06e4eea91362bd7f404cbfd68ddebee9.jpg
338c9517f7c50004f24c8ddae4b10ccf.jpg
b7e3be550fc4477ddedd4e5f972feec8.jpg
9e4b3031b9240167b228b95f76e26611.jpg
 
Ndio rum moja ambayo ina choo ndani pia kuna sebule kubwa na jiko la ndani
 
Ngoja nitafute demu pale chuo cha ustawi nimpangie hapo....shusha bei mpk laki 2
 
Back
Top Bottom